Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi ni kweli hazikujihusisha...ila yeye binafsi yalimkuta ya kumkuta!
Hakuwa na furaha... ..baada ya sixfour...

Namfahamu.. ..hakuwa mbali na jamii yetu mkuu....
Na nasikia huyo kiongozi wa yaliyotokea sixfour hakuwa na mchezo ukiingia kwenye anga zake. Unyama unyama tu ilikuwa...

Pole zake aisee. Ibrahim Hussein (Mashetani, Kinjeketile...) naye nasikia kidogo nati kadhaa zililegea kichwani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…