mkamilaevo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 302
- 441
mlicho mfanyia mungu anaewaona :-$[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UMESHAWAHI SHUHUDIA TUKIO LA WIZI MAHALI ULIFANYAJE? - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam....Na nasikia huyo kiongozi wa yaliyotokea sixfour hakuwa na mchezo ukiingia kwenye anga zake. Unyama unyama tu ilikuwa...
Pole zake aisee. Ibrahim Hussein (Mashetani, Kinjeketile...) naye nasikia kidogo nati kadhaa zililegea kichwani...
MaashaAllah...Kuna watu walikutana siku Moja, wakafahamiana siku hiyo hiyo moja, wakawa marafiki siku hiyo hiyo Moja, wakawa Wapenzi siku hiyo hiyo Moja na mpaka Sasa ni mke na mme mwaka wa Sita huu. Tusikariri kila kitu.
Toa pendekezo Ma Mkubwa. Unataka uzi uendeleaje? Happy New Year.Huu uzi ndio umefikia hivi? kutoka kwenye likes hd kwenye misambwanda?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukistaajabu ya musa utaona ya Jembekillo
Wakati ule iliamuliwa angalau kila mtanzania azijue mbinu za kivita. Kwamba kila mtanzania aliandaliwa kuwa askari wa kupigania nchi pindi adui anapojitokeza.Jeshi la Mgambo lilianzishwa kwa madhumuni gani? Kama ni ulinzi na Usalama wa ndani, Je Jeshi la Polisi halikuwa na uwezo au idadi tosha ya Askari? Kuwepo kwa Mgambo leo hii kuna manufaa gani?
Nidhamu ya pesa, pesa ukiichezea na yenyewe inakuchezea hatimaye inaenda zakeInaripotiwa kwamba Mwanasoka wa Ghana Asamoah Gyan ambae aliwahi kuwa Mchezaji anayelipwa zaidi duniani akiwa anapokea zaidi ya Tsh. Milioni 658 kwa wiki amefilisika kwa sasa, inadaiwa Gyan ana Tsh. Milioni 1 na Laki 7 kwenye akaunti yake kwa sasa
View attachment 979181