Nidhamu ya pesa ni jambo nyeti sana hasa pesa nyingi inapokujia ghafla ukiwa na umri mdogo.Aisee,,jamaa kakosea wapi??
Ahsante kwa maelezo Bro, Leo hii mgambo inajukumu lipi, umuhimu wake nini.?Wakati ule iliamuliwa angalau kila mtanzania azijue mbinu za kivita. Kwamba kila mtanzania aliandaliwa kuwa askari wa kupigania nchi pindi adui anapojitokeza.
Kwahiyo ilikua ukimaliza form 6 unapitia JKT kwenda kufundwa, na kama hujafika kwenye level hiyo unaenda mgambo. Nadhani ilikua hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuonaaaaaa...........
Tanzania yetu
wanadunda mbugani...
Umenione wapi ?nakuonaaaaaa...........