Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=advgqexmuy15.jpg
 
MAMA : Yaani Mimi Naongea Na Wewe Halafu Umeninyamazia, Adabu Gani Hii..!!? .. . .MTOTO : Lakini Mama... . . MAMA: Kelele Yaani Mimi Naongea Na Wewe Unaongea Kenge Wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 African's mom Mungu awatunze tu


na hapo ukibaki umesimama utamsikia unasubiri nini hapo hebu toka mbele yangu.......na ukitoka hajasema utoke utamsikia hivi hii tabia ya mimi naongea wewe unaondoka imetoka wapi ? umekua sio ?
 
Kocha wa timu ya Chongqing Dangdai Lifan ya Ligi Kuu ya China, Jordi Cruyff, ameionya Barcelona kujifunza kwa yaliyowakuta Real Madrid kwa Cristiano Ronaldo.

Cruyff kiungo wa zamani wa Barcelona na Manchester United, amesema anaamini kilichotokea kwa Real kitaikuta pia timu hiyo iwapo haitachukua tahadhari kuanzia hivi sasa.

Alisema Real licha ya kupokea ofa nyingi kwa Ronaldo, haikujiandaa kusaka warithi wake na sasa inateseka kwa pengo lakebaada ya kuhama ghafla Julai mwaka huu na pengo lake linaitesa. “Napenda kuwaambia viongozi wa Barcelona kilichowakuta Real kwa Ronaldo kitawakuta pia kwa Messi wasipochukua tahadhari,” alisema Cruyff.
 
Akifafanua kocha huyo alisema ni muhimu kwa Barca kuwaandaa vijana chipukizi watakaochukua nafasi ya Messi tangu sasa.

Mkataba wa sasa wa Messi unamalizika mwaka 2021, ameshaifungia Barcelona mabao 21 katika mechi 20 za michuano mbali mbali aliyocheza msimu huu.
 
Back
Top Bottom