Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Salama mkuu...beki hamna paleMkuu habari za weekend poleni sana kwa maangamizi niliyowafanyia jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Come back ya hatari kutoka wolves hawa jamaa hatari sana sijui niliwapigaje tena kwaoTottenham vs Wolves
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nine points clear i love this gameTottenham wapigwa la 3-1 na wolves dakika ya 87
Mambo NumbisaDuh kama sio wao waliowatandika everton
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipata jibu nitaghivi wali wa wajinga ndo. unapikwaje[emoji848][emoji1435]♂ [emoji19] Mana nasikia kuna mtu anambiwa wajinga doo waliwao nataka kujuwa unapikwaje uwo nimpikie mjinga
Umetisha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hasa ukitumia kikotoo cha zamani*Msimu huu wa sikukuu. Ajali hutokea* *kwa sekunde moja lakini mateso yake* *hudumu maisha*. *Helmet na Condom zivaliwe kwenye* *vichwa husika kwa shughuli husika*.... *Hususani kama chombo sio chako.[emoji28][emoji16][emoji23][emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpangaji mwenzangu kapika pilau linanukia kwel kwel na ndo saizi hapa nacheza na watoto wake sijui kwann mimi leo napenda sana watoto mimi wakilia nabembeleza kuliko mama yao
Aiseee20 epl games
17 wins
3. Draws
Hahahahaha hatari sanaWanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitw aJina lako tu, Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin How is your Day...Goodnite Kelvin. Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa unaitwa DEAR...Morning Dear..Umeamkaje Dear..Dear Umekula??Usiku mwema Dear usisahau kuniamsha Asubuhi Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa unaitwa BABY...Baby Hows ur day..Baby naumwa kweli leo...Baby naenda Mwenge see u later Ukihonga 300,000 na kuendelea hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi ushaangae...Kila kitu Hubby Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo nafunga mlango...Hubby kuna Mende chumbani njoo tulale wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUBWA,Hubby hivi utanioa lini?? Chagua jina unalotaka...Mahaba ya siku hizi ni kama MENU ya MPESA, Unajihukumu mwenyewe Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe HUBBY AKE, Ukifikia level ya kuitwa HUBBY basi hata ukijamba utasikia....pole HUBBY umeumia [emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mhhhh aiseeKUPENDWA NA MWANAMKE ASIYEPENDA HELA NI SAWA NA KULIKE PICHA HUKU UMEZIMA DATA
Poti poti niajeUkisikia uchawi ndio huu sasa! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu long time sana upo kiongoziShwaini zako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]