Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nimeikuta sehemu
Edson Jonasi Zvobgo (Waziri wa zamani wa Zimbabwe) aliwahi kusema bungeni
"Mheshimiwa Spika nusu ya wabunge katika bunge hili ni wapumbavu".
Wabunge wakalalamika wametukanwa. Spika akamtaka afute kauli yake na aondoe maneno yake maana ni ya kuudhi (yasiingie kwenye hansard).

Zvobgo akasimama na kusema "Mheshimiwa Spika nafuta kauli kwamba nusu ya wabunge ni wapumbavu, nirekebishe kauli hiyo kwa kusema kwamba nusu ya wabunge katika bunge hili si wapumbavu".

Wabunge wakapiga makofi "Pwapwapwa".!!
Asee, ogopa sana kufanya kazi na wapumbavu
 
Back
Top Bottom