[emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122]Haleluya. Mungu tufikishe mwaka mpya salama Baba. Tena ukawe mwaka ambao ndoto zetu zitatimia. Wenye kusaka wenzi wa maisha wakapate. Wenye kutafuta ajira wakafanikiwe. Wanaosaka watoto au mafanikio ya kimaisha ila zaidi ya yote tuweke hai Baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 981375
Eewaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku Mwakaleli mkesha tumeanza leo, abiria ni wengi ajabu... Yaani abiri anakaa atakavyo ili mradi safari yetu (2019) tufike salama
View attachment 981386
[emoji116][emoji116]
Aisee Prof!![emoji23][emoji23]Nao wasijichetue akili.....Walikuwa wanaelewa sana nilipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mwaka mpya lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eewaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku Mwakaleli mkesha tumeanza leo, abiria ni wengi ajabu... Yaani abiri anakaa atakavyo ili mradi safari yetu (2019) tufike salama
View attachment 981386
Hatuna tabia ya kuwajibisha mafisadi. Badala yake tunayaabudu kwa vile yametajirika sana !!!
Mapito ya maisha. Wakikua wataacha [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwaka mpya inategemea na kalenda unayotumia Prof. Kwa watumiaji wa Gregorian calendar mwaka mpya umekaribia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nao wasijichetue akili.....Walikuwa wanaelewa sana nilipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mwaka mpya lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzima na afya ndio mtaji wetu[emoji120][emoji120]Haleluya. Mungu tufikishe mwaka mpya salama Baba. Tena ukawe mwaka ambao ndoto zetu zitatimia. Wenye kusaka wenzi wa maisha wakapate. Wenye kutafuta ajira wakafanikiwe. Wanaosaka watoto au mafanikio ya kimaisha ila zaidi ya yote tuweke hai Baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 981375
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapito ya maisha. Wakikua wataacha [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa. AsanteMwaka mpya inategemea na kalenda unayotumia Prof. Kwa watumiaji wa Gregorian calendar mwaka mpya umekaribia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]