Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kila mtu na mtu watu wake...Hahahaha
Me naanza kukuogopa bhana mana sammy anawivu sanaUnaweza kuficha kitu ila kikajulikana tu
Nakusalimia baba mchungaji,nsamaka hajambo?Neema neema.... Neema imefunuliwa.. [emoji122] [emoji122] [emoji122] neema kwa vijana, neema imefunuliwa...
Asee, ogopa sana kufanya kazi na wapumbavunimeikuta sehemu
Edson Jonasi Zvobgo (Waziri wa zamani wa Zimbabwe) aliwahi kusema bungeni
"Mheshimiwa Spika nusu ya wabunge katika bunge hili ni wapumbavu".
Wabunge wakalalamika wametukanwa. Spika akamtaka afute kauli yake na aondoe maneno yake maana ni ya kuudhi (yasiingie kwenye hansard).
Zvobgo akasimama na kusema "Mheshimiwa Spika nafuta kauli kwamba nusu ya wabunge ni wapumbavu, nirekebishe kauli hiyo kwa kusema kwamba nusu ya wabunge katika bunge hili si wapumbavu".
Wabunge wakapiga makofi "Pwapwapwa".!!
Yaani hapa nnavyojisikia ni Mungu pekee ndie anajua.Indeed
Mkuu naona unapenda kuongea na shemejiNamjua za mifupa pia anazikubali