Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongereni mliouona mwaka mpya. Hapa kwangu nilipo bado masaa manane. Lolote laweza tokea japo naamini nitafika. Blessings wapendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mtangulize Mungu, amini kuwa wewe sio wa leo wala sio wa kesho, bali ni wa milele kwa uweza wa Baba yetu aliye hai.
Kila lenye heri likawe upande wako[emoji120][emoji120]
 
Mtangulize Mungu, amini kuwa wewe sio wa leo wala sio wa kesho, bali ni wa milele kwa uweza wa Baba yetu aliye hai.
Kila lenye heri likawe upande wako[emoji120][emoji120]View attachment 982514
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Please nisalimie wapwa zangu pamoja na dada. Endeleeni kubarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…