Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2017-09-07%2023.29.33%201598836401938397715_3317546160.jpeg
 
Liverpool wazuri sana Mkuu, lakini mpira hudunda nani alitegemea jana Spurs wapigwe 3-1 na Wolves. Nausubiri Mchapo wa MANC na Liverpool kwa hamu kuu. Matokeo ya mechi hiyo yanaweza kutupa mwanga nani atatwaa kikombe cha EPL mwaka huu.
Hakika, kila mpenzi wa EPL anaamini mechi hiyo ndiyo itakayotoa mwangaza wa nini hasa kitakachotokea mwisho wa ligi hiyo ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom