Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu unakwoti mpaka mtu anaboreka duh! Si uweke tu post zako mwenyewe? Ni lazima kukwoti kila post za mtu na kumjazia manotification yasiyo na kichwa wala miguu?

Weka za kwako hata kama ni namba au alphabet tu likes utapata.

Happy New Year
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] happy new year
 
Hapo pabaya
Tuanze mwaka mpya kwa upendo
IMG_20181231_214128.jpeg
 
ARUSHA - AFARIKI DUNIA AKISUBIRI NDOA KANISANI | . Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini hapa na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani. Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro. Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo vikiendelea vikiongozwa na kikundi cha matarumbeta nje ya kanisa huku bibi harusi akiingia kanisani, Heaven alianza kujisikia vibaya na kupoteza fahamu. Kutokana na hali hiyo alikimbizwa Hospitali ya St Elizabeth, lakini alifikishwa akiwa tayari amefariki na mwili wake kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru.
Aiseee pole yao
 
Wakati Ligi Kuu England ikiwa ndio kwanza imefika Desemba 31, Arsenal ya Emery imeruhusu mabao mengi kuliko kikosi kingine chochote cha Wenger alichowahi kukiunda kwenye timu hiyo. Safu ya mabeki ya Arsenal kwa sasa inapitisha mabao pengine kuliko chujio linavyopitisha maji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du hii kashfa
 
Back
Top Bottom