Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakati Ligi Kuu England ikiwa ndio kwanza imefika Desemba 31, Arsenal ya Emery imeruhusu mabao mengi kuliko kikosi kingine chochote cha Wenger alichowahi kukiunda kwenye timu hiyo. Safu ya mabeki ya Arsenal kwa sasa inapitisha mabao pengine kuliko chujio linavyopitisha maji.