Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120]
20181231_170742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARUSHA - AFARIKI DUNIA AKISUBIRI NDOA KANISANI | . Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini hapa na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani. Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro. Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo vikiendelea vikiongozwa na kikundi cha matarumbeta nje ya kanisa huku bibi harusi akiingia kanisani, Heaven alianza kujisikia vibaya na kupoteza fahamu. Kutokana na hali hiyo alikimbizwa Hospitali ya St Elizabeth, lakini alifikishwa akiwa tayari amefariki na mwili wake kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru.
 
HUU ndio ukweli. Unai Emery ameifanya Arsenal kuwa na beki dhaifu kuliko Arsenal yoyote ile iliyowahi kuwa chini ya Arsene Wenger.

Arsenal iliamua kumfungulia mlango wa kutoka Kocha Wenger mwishoni mwa msimu uliopita na baada ya hapo ikampa kazi Mhispaniola, Unai Emery.
 
Mhispaniola huyo alipata sifa nyingi sana wakati anaanza kazi kwenye kikosi hicho cha Emirates, lakini ukweli ilikuwa mapema kwa sababu isingekuwa rahisi kubadili utamaduni uliokuwa umewekwa na Wenger kwa miaka 22 aliyodumu kwenye kikosi hicho.
 
Back
Top Bottom