Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alibadili baadhi ya vitu baada ya kutua Arsenal. Alibadili hata mfumo na kuifanya timu icheze anavyotaka yeye. Lakini ameshindwa kufanya kitu muhimu kwenye kuzima matobo yaliyopo kwenye safu yake ya mabeki.

Ubovu wa beki si tu umeumbuliwa na timu vigogo kwenye EPL, bali imeruhusu wavu wake kuguswa na timu za kawaida kabisa kama Burnley, Brighton na Southampton.
Huyu sijui kama atadumu....
 
Wakati Ligi Kuu England ikiwa ndio kwanza imefika Desemba 31, Arsenal ya Emery imeruhusu mabao mengi kuliko kikosi kingine chochote cha Wenger alichowahi kukiunda kwenye timu hiyo. Safu ya mabeki ya Arsenal kwa sasa inapitisha mabao pengine kuliko chujio linavyopitisha maji.
😂😂😂
 
Mmh.
IMG_20181231_155300.jpg
 
Wakati Ligi Kuu England ikiwa ndio kwanza imefika Desemba 31, Arsenal ya Emery imeruhusu mabao mengi kuliko kikosi kingine chochote cha Wenger alichowahi kukiunda kwenye timu hiyo. Safu ya mabeki ya Arsenal kwa sasa inapitisha mabao pengine kuliko chujio linavyopitisha maji.
Nilikuwa nataka kuhama sasa kama mwendo ndo huu sihami ng'o [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nobody wins when the family feuds!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nimejifunza the hard way. Kwa sasa nimeshawaambia anayetaka kufeud nami itabidi ajipange vizuri. Hata awe mkorofi namna gani. Maugomvi ya familia hayana faida sana sana ni kupunguziana mibaraka tu. Be a glue that bonds the family together bro...Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom