Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natumia app.

Sipendi app

Sababu nikionaga eti inaweza kusoma contacts, etc

Kwa zingine zingine sawa ila zingine NAAAA ha haaaaa

Sasa mimi wanisome iweje eeeeee

Tho Max kama ananijua ni nani, akitaka kuwasiliana nami nje ya JF anaweza kupitia channels fulani fulani nami naweza na niko wapi kizaidi, hiyo namezea


Ha ha haaaaa

Labda nakupa pojoro utajuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…