Shukran sanaSwadktaaaaaaaaa kijana naiona kasi ya mwaka mpyaaaa
Heri ya mwaka mpya pia
Kwema bro?Kama huna uhakika aisee kujizungusha muhimu. Demu kakata mzizi wa fitina [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti wanakasirikaMbona mmekua wakali, kama bikra wakike hawapo wakiume si mjitokeze tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwema bro. Mwaka mpya umeanza vyema sana. Na kwako pia mdogo wangu. Hebu mwaka huu na ukaweze kutimiza ndoto zako nyingi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ukeni
ulisha watoa wangapi mkuu
@jocasta mada yako inakosa weledi na heshima.. Halafu inadhalilisha utu wa mwanamke.. Kiungwana ukiweza omba radhi kwakuwa kukosea kupoWanawake wa humu woote siyo bikra, kama ww bikra jitokeze tuone
Una "vituko" sana wewe siku hizi walahi [emoji16][emoji16][emoji16]