Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aangalie asije akaporomoka na hiyo balcony
Tatizo umesahau upo jukwaa ganiKuwa na adabu japo chembe...haya ni matusi, sikulaumu nawalaumu mods hawajamuacha hata mmoja ofisini likizo hii, tusubiri warudi likizo...Maxence Melo pokea lawama kwa niaba ya mods.
Sent using Jamii Forums mobile app
AhahahaaaaaaHao bikra unawahitaji kwa matumizi gani?
Haijalishi hiyo hasty generalization ndio tatizo huko ni kuwatusi wanawake wa humu wanaotupatia utamuTatizo umesahau upo jukwaa gani
Asante sana kwa maneno ya busara bro,hakika baraka hz Mungu atazisikia na atazifanyia wepesi!!Huku kwema bro. Mwaka mpya umeanza vyema sana. Na kwako pia mdogo wangu. Hebu mwaka huu na ukaweze kutimiza ndoto zako nyingi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tusi liko wapi hapo kaka, mbona imekuuma sana vpHaijalishi hiyo hasty generalization ndio tatizo huko ni kuwatusi wanawake wa humu wanaotupatia utamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu muende kwenye Uzi wenu wa mabikra Huku tunasambaza like kwa upendoWanaolalamika ndo hawana kabisa
Nawatakia heri ya mwaka mpya wana jfUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Na wewe piaNawatakia heri ya mwaka mpya wana jf
Bikra (jinsia zote) enzi hizi wapi na wapi? Kupotezeana muda tu. Hebu acha mie nile likes tamu za mwaka mpya [emoji16][emoji16][emoji16]Embu muende kwenye Uzi wenu wa mabikra Huku tunasambaza like kwa upendo
Inaonekana ni uzi usio na kichwa wala miguu umeunganishwa huku. Uzi huu ndiyo dampo la nyuzi zote za hovyo. Mods akili zao wanazijua wenyewe