Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
1.Barcelona - Euro 267.7 milioni
Barcelona walimnunua Philippe Coutinho kwenye dirisha la majira ya baridi Januari mwaka huu na kumfanya kuwa mchezaji wao ghali zaidi kwenye kikosi chao. Kwenye dirisha hilo hilo walifanya usajili pia wa beki wa kati, Yerry Mina ili kujiimarisha kwenye safu ya ulinzi
Kwenye majira ya kiangazi, Barca walifanya usajili wa kiwanasa mastaa Arthur Melo, Arturo Vidal, Malcom na Clement Lenglet na kufanya mwaka huu wa 2018 wawe klabu iliyotumia pesa nyingi zaidi kwenye usajili, Euro 267.7 milioni.