Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Orodha kamili ya mifumo ya simu ambayo wateja hawawezi kutumia WhatsApp:
Android 2.1 na Android 2.2
Windows Phone 7
iPhone 3GS/iOS 6
BlackBerry OS and BlackBerry 10
Nokia S40
Nokia Symbian S60
Wanaotumia simu zilizofungiwa wameshauriwa kununua simu za kisasa zaidi.
TECNO tunapeta tu.

capitalpool upo ng'wanawane? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
WWE
FB_IMG_1546160940081.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TECNO tunapeta tu.

capitalpool upo ng'wanawane? [emoji16][emoji16][emoji16]



Ha hah

Hilo toleo la zamani sana, 1st release ake ilkuwa 2009! Kipindi ambacho whats App Ilkua na miezi kama 6/7 na watumiaji walikuwa wachache sana.

Kipindi hiko hata Tecno hakuna mtaani!

Kwa swala la huduma Muhimu kwenye Simu/Pc Apps sikuzote iOS tutakuwa wa kwanza then Androids!

comment_sense_46708597_1997969063584242_4691585445358731264_n.jpg
 
Back
Top Bottom