Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190102-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo tangu kuanzishwa kwa uzi huu tu. Ni tangu siku ile jamaa alipolazwa usingizi wa pono akaibiwa ubavu wake tukatengenezewa misambwanda !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila maisha haya Mungu acha aendelee kutu zuumu huko aliko.
Heri ya mwaka mpya ndugu yangu. Kila lenye heri likawe ndilo hitaji lako
 
Hata mimi ndio nimehamia huko. Ukiangalia hicho kipande ndo utajua ni jinsi gani wanatuchukulia mazuzu wapenda mieleka. Yaani ni bora uangalie vichekesho vya Kingwendu kuliko mieleka hiyo
Ndondi na UFC ndiyo mtindo mzima. Hakuna mbwembwe wala maigizo. Ukileta za kuleta unaletewa za kuletewa.

Chuck Lidell put to sleep by Rashad Evans [emoji116][emoji116][emoji116]

giphy.gif
 
Ndondi na UFC ndiyo mtindo mzima. Hakuna mbwembwe wala maigizo. Ukileta za kuleta unaletewa za kuletewa.

Chuck Lidell put to sleep by Rashad Evans [emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 984070
Aisee!!!!
Kwa sisi wengine ushabiki ulianzia kwa Mike Tyson mapigo kama hayo yanasuuzaga sana nafsi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila maisha haya Mungu acha aendelee kutu zuumu huko aliko.
Heri ya mwaka mpya ndugu yangu. Kila lenye heri likawe ndilo hitaji lako
Asante sana.

Nawe nakuombea amani, upendo, afya njema, mafanikio na furaha zaidi na zaidi kwa mwaka huu na mingine mingi ijayo kwako na wapendwa wako wote. [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom