Ukiona hivyo ni wale wasiojulikana wanakubipu bro [emoji16][emoji16][emoji16]Wakuu mmewahi kuona id inajitwa 'Someone'?
Imelike baadhi ya posts zangu ila ID yenyewe haipo(ukiisearch).Pia notifications zake naziona kwenye simu tuu ila kwenye computer sizioni😳😳.Sijui ni mdudu 'bug' au ni nn.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mike Tyson alileta mvuvumko sana. Ndo maana hajatokea mwingine. Jamaa alikuwa anapiga wenzake kama vile wamemnyandulia mai waifu wake...View attachment 984072
Hahahahah, nadhani ni bug kwenye app ya simu kwasababu imelike post moja mara nyingi halafu ni id ambayo haiexist ...Ukiona hivyo ni wale wasiojulikana wanakubipu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu hapa.Ukiona hivyo ni wale wasiojulikana wanakubipu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Yawezekana. Wasiliana na mods uone wanasemaje. Usisahau kuleta mrejesho.Hahahahah, nadhani ni bug kwenye app ya simu kwasababu imelike post moja mara nyingi halafu ni id ambayo haiexist ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona hivyo ni wale wasiojulikana wanakubipu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Ok bro, ahsante.Yawezekana. Wasiliana na mods uone wanasemaje. Usisahau kuleta mrejesho.