Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

being.students_47582031_165833911047415_779898883459021379_n.jpg
 
Ooooh!

Hongera sana bro...

Mi nilipiga miaka kadhaa ikanishinda...

Nauelewa sana usemi wa "kosea kujenga lakini usikosee mwenzi wa maisha"

Endeleeni kusimama imara na Mungu Akawajalie mbakie imara mzeeke pamoja mje mshuhudie vijukuu, vitukuu na vilembwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ha haah

Ukianguka unainuka Bro,
 
Back
Top Bottom