capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ha hahMaandaeitini bana. Tupilia mbali hivi vinadharia vya kuokota okota huko vitabuni na IG. Wakati ukifika tu we sali sana upate mwenzi wa kweli anayejiheshimu hata kama rangi za taya hazifanani. Ukikosea tu imekula kwako haijalishi unambeba mgongoni kila uendako na kumfanyia kila liwezekanalo kihisia, kiuchumi na kimapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]
SAWA.