Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kisukuma cha huku Ntuzu Simiyu kimekopa maneno mengi sana. Rangi na aina nyingi za ng'ombe pamoja na majina mengi ya vijiji tumekopa kutoka Datoga...
Kisukuma cha huku Ntuzu Simiyu kimekopa maneno mengi sana. Rangi na aina nyingi za ng'ombe pamoja na majina mengi ya vijiji tumekopa kutoka Datoga...
Aaah kumbe
Ya pili hiyo
Hivi tuu ukajipatia likes 400+ duhMleta mada like yangu ya tatu ee
Ndiyo. Inahitaji uangalifu mkubwa na siyo mbwembwe za yule kijana aliyewapiga watu halafu akapotea...
AiseeHivi tuu ukajipatia likes 400+ duh
Sukuma landKisukuma cha huku Ntuzu Simiyu kimekopa maneno mengi sana. Rangi na aina nyingi za ng'ombe pamoja na majina mengi ya vijiji tumekopa kutoka Datoga...
Hapana sijawahi kufungua live. Nipo kwenye demoNdiyo. Inahitaji uangalifu mkubwa na siyo mbwembwe za yule kijana aliyewapiga watu halafu akapotea...
Ulishajaribu kwenda laivu ukatupiamo vidola vyako mia ili kutesti zali?
HakikaUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Bro unawashatisha ujue [emoji16][emoji16][emoji16]#KuchapiwaHakuepukiki#
KumbeKisukuma cha huku Ntuzu Simiyu kimekopa maneno mengi sana. Rangi na aina nyingi za ng'ombe pamoja na majina mengi ya vijiji tumekopa kutoka Datoga...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Maandaeitini bana. Tupilia mbali hivi vinadharia vya kuokota okota huko vitabuni na IG. Wakati ukifika tu we sali sana upate mwenzi wa kweli anayejiheshimu hata kama rangi za taya hazifanani. Ukikosea tu imekula kwako haijalishi unambeba mgongoni kila uendako na kumfanyia kila liwezekanalo kihisia, kiuchumi na kimapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]
#KuchapiwaHakuepukiki#
Mh
Good luck bana. Ni kupambana hivyo hivyo...
Kivipi mkuu
Nawapenda wooteUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Unakifahamu kiDatoga? Kinaingiliana na Kiiraqw?