myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
TECNO tunapeta tu.Orodha kamili ya mifumo ya simu ambayo wateja hawawezi kutumia WhatsApp:
Android 2.1 na Android 2.2
Windows Phone 7
iPhone 3GS/iOS 6
BlackBerry OS and BlackBerry 10
Nokia S40
Nokia Symbian S60
Wanaotumia simu zilizofungiwa wameshauriwa kununua simu za kisasa zaidi.
Nimeshtuka kidogo. Sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]
mkuu vipi...Nimeshtuka kidogo. Sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Jembe hili! Enzi ni mdau wa Mchezo huu, sikuizi hata sijui nini kinaendelea huko.
Ni Moja kati ya komenti ya uonevu kukomentiwa tangu kuanzishwa kwa uzi huu.Akili ni bora kuliko misambwanda
CantstopwontStop