Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kidatoga sikifahamu. Ila najua kinaingiliana kidogo na kibarbaigUnakifahamu kiDatoga? Kinaingiliana na Kiiraqw?
Hivi ile kamusi ya Kiiraqw nilikutumia? Oh Jizazi !!!
Kweli ni kiboko ya mabishoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha bado ndio nipo hapa bado nasubiriHivi ile kamusi ya Kiiraqw nilikutumia? Oh Jizazi !!!
My bad kwa kweli.
HahahaMy bad kwa kweli.
Nalog off mpaka nikamilishe hilo zoezi ...