Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kazi ipo. Ningekuwa mimi vitabu visingetozwa kodi kabisa. Ndiyo msingi wa maarifa ya taifa. Polepole tutafika.Kitabu kitapatiwa kodi za kutosha bado ghadama za uchapishaji,kama gazeti tukuchapishwa lina mlolongo sembuse kitabu,ingekua rahisi tungekua na vitabu vya kutosha mitaani hadi mitandaon kwa lugha ya kiswahili