Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Cha ajabu ni kuwa hiyo id haipo kabisa, hata ukijaribu kuitag(au kuisearch) haipo.Nasikilizia mrejesho wa mods hapa.Hao nshawazoea mara nyingi huwa naona mtu kanifollow kuangalia profile ake nakuta kajiunga JF dakika tano zilizopita,na unakuta hana post hata moja
Ninashukuru sana, na kwako pia.
wanakamua kila eneo..kuna vitu badala ya kutoza kodi unaangalia wapi upunguze matumizi ili viwepo free kwa jamii...Kazi ipo. Ningekuwa mimi vitabu visingetozwa kodi kabisa. Ndiyo msingi wa maarifa ya taifa. Polepole tutafika.
hata hatishi.......