Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitabu kitapatiwa kodi za kutosha bado ghadama za uchapishaji,kama gazeti tukuchapishwa lina mlolongo sembuse kitabu,ingekua rahisi tungekua na vitabu vya kutosha mitaani hadi mitandaon kwa lugha ya kiswahili
Kazi ipo. Ningekuwa mimi vitabu visingetozwa kodi kabisa. Ndiyo msingi wa maarifa ya taifa. Polepole tutafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…