[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hahahahahahah, kwenye chama chenu?
Wewe lini?
Mnataka mumnyang'anye CCM mtaji wa kisiasa eeeh π.Kazi ipo. Ningekuwa mimi vitabu visingetozwa kodi kabisa. Ndiyo msingi wa maarifa ya taifa. Polepole tutafika.
ππππWewe lini?
Sio kuzunguka tu kwenye kona ya bwiru halafu unasepa zako Nyegeziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante bro.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera sana.
Nakutoa kule, kuna nyuzi tatu za aina hiyo tangu jana zimekuwa za hovyo sana. Wanazunguka wenyewe tu
Nakumbuka siku ya kwanza alikukaribisha jamaa fulani hivi.... Nikacheka sana maana akili zake kuna muda zilikuwa zinamuacha nyumaAhsante bro.
Ni kitambo lakini, sikuwepo humu.
Nimekusoma mkuu.
hahahahaah, nani huyo simkumbuki ππNakumbuka siku ya kwanza alikukaribisha jamaa fulani hivi.... Nikacheka sana maana akili zake kuna muda zilikuwa zinamuacha nyuma
Ilikuwa ni karibu ya kawaida ila mazingira yalionyesha kama ni jezi vilehahahahaah, nani huyo simkumbuki ππ
Alinikaribisha kwa tungo tata nini?Kwasababu humu ndani kuna mda mnaelewanaga wenyeweπ
Ha ha ha ha et NyegeziWewe lini?
Sio kuzunguka tu kwenye kona ya bwiru halafu unasepa zako Nyegeziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]