Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Sana mzee,,ukisema origin yako,,unachomekewa na kasalamu ka kilugha,,,ndio nn sasa
Ukabila tuukomeshe kwenye kila nyanja. Ingawa nchni Tanzania kuna makabila hayawezi kuishi bila kubagua wengine
Hatari sana Mkuu.Sana mzee,,ukisema origin yako,,unachomekewa na kasalamu ka kilugha,,,ndio nn sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi kabisa.Ukabila tuukomeshe kwenye kila nyanja. Ingawa nchni Tanzania kuna makabila hayawezi kuishi bila kubagua wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa mila na desturi za kiafrika bint huyu yuko uchi wa mnyama
Kweli kabsa mkuu!!Ukabila tuukomeshe kwenye kila nyanja. Ingawa nchni Tanzania kuna makabila hayawezi kuishi bila kubagua wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
SahihiKuna baadhi ya makabila mira na desturi zao ni kuendekeza ubaguzi wa kikabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawa mjanja siku hizi,cheki pouziDavet huyu huyu wa kwetu?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 984889
Iwe bojo!!! Hamuna...Kuna Mfuko Mmoja wa hifadhi ya jamii,tawi la mkoa
Ukifika pale ,,kuanzia cleaner hadi meneja wa tawi ni kutoka British Kingdom
Aisee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana ana mabahati sana,na camera zake za beautyplusAaaa wapi. Andaeitini yule bado anakula maisha kwanza. Sana sana akirudi utasikia uzinduzi mwingine part III huko MMU. Sijui huwa anawafanyaga nini mpaka wanakimbilia kumzindua ili wajimilikishe. Tumuombee tu kijana wetu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndo maana kapotea chezea kuipata kona ya bwiru kila baada ya madakika kadhaaDavet kaoa tayari,