Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nikajua unatuletea habari mpya yako bana 😀😀

Tusubiri man city ishinde atakuja tuu.
Mmh habari mpya ipi jaman kama hii
IMG_20190102_230620.jpg
 
Kwa mujibu wa mila na desturi za kiafrika bint huyu yuko uchi wa mnyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa mila, desturi na makuzi ya vijana wa Kiafrika kuwaenzi babu na bibi zetu waliokuwa wanavaa magome ya miti, binti huyu kaficha saaana chakula cha macho... Nimeshindwa hata kujenga taswira ili nihemke...

Ila vijana wa siku hizi wanafaidika jamanii [emoji134][emoji134]
tapatalk_1546532289018.jpeg
 
Back
Top Bottom