Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna Mfuko Mmoja wa hifadhi ya jamii,tawi la mkoa

Ukifika pale ,,kuanzia cleaner hadi meneja wa tawi ni kutoka British Kingdom

Aisee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nogambaki mnyamahanga?

Hawa wakikaa mahali huwa wanakaba mpaka penati ng'wanawane. Ndiyo maana Nyerere alikuwa hawaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…