Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wacha wachomwe tu vyombo vyetu havitoi bado stahiki kwa wavunjaji sheria.

Na kwanini mtu aamue kuwa Mwizi/Jambazi.?

Hkuna jambo anaweza kufanya apate kula ya kila siku.?

Huko ni kurudishana nyuma kimaendeleo! 3rd WCs
Ahsante mkuu.
Hizi sheria kuna muda zinaturudisha nyuma kimaendeleo. Wezi nilikuwa nawajua lakini polisi wakasema ushahidi haujitoshelezi.
 
Nyie mnapataje hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…