Mkuu yaani unatoa maelezo hadi macho yanatoka na askari anasaidia kuyarudisha bado hakuamini, unarusha mikono huku na huko kama supporting documents za maelezo yangu lakini wapi, machozi na kamasi vinanimwagika naambulia "pole sana mzee, ukisikia fununu zozote tujulishe" aaarghh...Hilo la ushahidi kwetu ndo linatupa changamoto, utadhani tumewekewa CCTV s mitaani!
Mkuu yaani unatoa maelezo hadi macho yanatoka na askari anasaidia kuyarudisha bado hakuamini, unarusha mikono huku na huko kama supporting documents za maelezo yangu lakini wapi, machozi na kamasi vinanimwagika naambulia "pole sana mzee, ukisikia fununu zozote tujulishe" aaarghh...
Sawa nimekuelewa. Asante.ni bland kubwa tuna wafadhili....and so on...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106]kwenye offer hii hakuna kitu kama icho....hakuna ubabaishaji...tunafanya kazi