Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mzee wa liver alipotea kimya kimya janaBAADA ya Liverpool kupokea kichapo cha 2-1, kutoka kwa Manchester City, kiungo wa Man City, Leroy Sane amesema
Fernandinho ndiye alikuwa mchango mkubwa katika ushindi huo.
Akizungumza na mtandano wa Tribal Football baada ya mchezo kumalizika, Sane alisema kwamba kila mmoja anajua kabisa kwamba Fernandinho ni mchezaji muhimu katika kikosi chao siku zote kwa hiyo uwepo wake umefanya waibuke na ushindi katika mchezo huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mkuu nilikuwepo sanaMzee wa liver alipotea kimya kimya jana
Mkuu, unazitoa wapi hizi kauli. Nazitafuta sana. Kuna mtu aliyezikusanya mahali?watanzania mnapaswa mjue kuwa uchumi kupanda pia huandamana na kukosa hela mifukoni"
Ooooooops. May be nikupe pole tu kwa kichapo hicho kitakatifu. Majibapa na yale makorokocho mengine kweli jana yaliteremka?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mkuu nilikuwepo sana
hahahahaaaa huwa naziona humu JF.Mkuu, unazitoa wapi hizi kauli. Nazitafuta sana. Kuna mtu aliyezikusanya mahali?