moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hakuna justification ya kitendo hicho. Angekuwa ameua pengine...Au hii imetokea huko Saudia?
Nasubiri siku hawa wananchi wenye hasira watakapolikamata lifisadi limoja kama lijoka makengeza hivi na kulitia kiberiti laivu mchana kweupe...
Shithole societies...
Tumeumbwa kwa huruma, ila hawa shwaini hawafai hata kwa shilingi mbovu. Walivunja dirishani kwa binti yangu wa kazi mchana kweupee, walitamba nyumba nzima, vichupi vyangu vya uzeeni wakavitandaza koridoni shwaini zao. Kuja kukagua kibubu cha ada 3.8m haipo na ilikuwa nikailipe kesho yake.
Niseme tu siwapendiView attachment 985915
Bongo muvi njooni huku kuna mtu anawabipu [emoji16][emoji16][emoji16]Ukionyesha maisha ambayo si yako kwa watu, ujue unajipotezea muda wako pasipo kujijua.
Mhogo wa jang'ombe[emoji441][emoji445][emoji445]
Mambo ni MENGI!!!"Yaani mvua zinanyesha hivi alafu nisikie baadaye eti kuna mkoa unalia njaa" sigawi chakula mimi kwani serikali haina shamba"
Alifoji cheti cha form 4. Wamemletea sokomoko sasa ameomba arudie mtihani wa form 4 japo ni doctoral student kwa sasa.Jamaa huyu sijapata access ya kusoma taarifa yake imekuwaje kwani
Duh!!Alifoji cheti cha form 4. Wamemletea sokomoko sasa ameomba arudie mtihani wa form 4 japo ni doctoral student kwa sasa.
Pengine watu walianza kutajana majina laivu...Ila kama ni kweli jamaa aliingizwa mkenge sana na inavyoonekana hata papuchi hakupata. Alikuwa anasubiri siku ya harusi...HIVI KWANINI MODS WAMESEPA NA UZI WA JAMAA ALIEPIGWA LAKI TANO
Duh! Mbaya sana
Pengine watu walianza kutajana majina laivu...Ila kama ni kweli jamaa aliingizwa mkenge sana na inavyoonekana hata papuchi hakupata. Alikuwa anasubiri siku ya harusi...
Yeah. Humu, kama vile kokote kule, ni kuwa keafuu kwa sababu ukizubaa tu unapigwa [emoji16][emoji16][emoji16]
unanitafutia balaaaBongo muvi njooni huku kuna mtu anawabipu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijaifuatilia hii ishu sawa sawa broAisee aliolewa au