Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1546604877341.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kumlaumu ila jamaa amenizidi uzito mpaka Mimi yaani muda wote hajapata kitu wanawake wakipata boya wanalipiga kisawasawa pole yake
Hawanaga huruma. Tena ukijifanya una upendo wa kweli, roho nzuri, morals na heshima ndo wanakuona zuzu kweli kweli. Halafu wakikutana na majamaa ngangari yasiyojali wanarudi tena na kuanza kulia lia kuwa wanaume wa siku hizi hovyo. Jamaa inaonekana alikuwa ameamini kabisa kuwa kapata mke bora na hakutaka hata kuonja utamu wa kitumbua kumbe mwenzake anamchora tu. Magumu sana haya mambo bro !!!
 
Back
Top Bottom