Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke bora anahitaji zawadi bora katika maisha yake, hawezi kukwambia na wala haifahamu.”
Hawanaga huruma. Tena ukijifanya una upendo wa kweli, roho nzuri, morals na heshima ndo wanakuona zuzu kweli kweli. Halafu wakikutana na majamaa ngangari yasiyojali wanarudi tena na kuanza kulia lia kuwa wanaume wa siku hizi hovyo. Jamaa inaonekana alikuwa ameamini kabisa kuwa kapata mke bora na hakutaka hata kuonja utamu wa kitumbua kumbe mwenzake anamchora tu. Magumu sana haya mambo bro !!!Siwezi kumlaumu ila jamaa amenizidi uzito mpaka Mimi yaani muda wote hajapata kitu wanawake wakipata boya wanalipiga kisawasawa pole yake
Ukistaajabu ya Firauni utayaona ya Musa mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Mh, kumbe like zinatafutwa
Kila mmoja ni expert kwenye uwanja wake. ..
Kimya sana huyu dogo. Kuelekea 2020 bila shaka atasikika kwa sababu ndiyo mmojawapo wa think tank na strategist mkuu wa chama.
Nani kashinda kati ya Steph na MVP Harden?Mechi ya Basketball mapema leo kati ya Golden State Warriors na Houston Rockets ilikuwa bomba sana.
✔✔Hii mechi ilikuwa na ushindani mkubwa sana utadhani ni mchezo wa Playoffs.
Dogo yupo amekazana na kijanisha DodomaKimya sana huyu dogo. Kuelekea 2020 bila shaka atasikika kwa sababu ndiyo mmojawapo wa think tank na strategist mkuu wa chama.