carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
MmhhWala usiniogope sammyluv anaelewa vizuri
Umewakilisha vyema sana mkuuToa likes Pata likes
Kula likes mkuuJamani speed yenu haina kuchimba sawa?
Toa likes Pata likesHata mimi mwenyewe sijui, najikuta tu.
Siyo ya kweli, nimepita sana kwenye makaburi ya pale mtaa wa Mombo karibu na uwanja wa taifa, muda wa kwenda na kurudi toka disco.Nasikiaga watu wanaona wafu na mashetani
HahahahaHuu uzi umenishinda kasi huu!
Hahahhaah kakaAkili yote ipo hapa
Jamani hata tusisalimiane??[emoji15] [emoji15]Ona sasa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hata asipo wahi Shemeji yangu yupo so determine she knowz what she wantsSHIMBA YA BUYENZE wahi bhana huku
buyenze pokea like popote ulipo tafadhaliSHIMBA YA BUYENZE wahi bhana huku
Sio kama watu wanapenda hiyo makinikia ila mkulu tu ndio kazi yakehiyo inakaba... mjazo ndo tunapendaga
HahahaaKwa kweli