Mmh day time tu naogopa sembuse usiku?doohNani anaweza kutembea makaburini usiku wa saa 6 hadi saa 8?
Hahhaahaha kula likes wekq ratiba vizuri tj ya kuingia jfHuu uzi kunakijini kipo kimenishika pembe
Pole sana mkuu ila penda kuchungulia na kule kujifunza vitu vipyaSipati kabisa muda wa kuchungulia nyuzi zingine
Na nyingine tunakupa na wewelikes 10 kwa Numbisa tafadhali
Hapana ni sammy pekee ndo anammiliki kichwaWote wawili kwa kichwa Kichafu?
Night worldNani anaweza kutembea makaburini usiku wa saa 6 hadi saa 8?
Hamna sema hamjakaa kwa muda mrefu pamoja mtazoeana tuNimemuona wifi yangu sema ana wivu hatari