Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahhahahaha kuwa makini tuNajuamnanishangaa nipo napga story mwenyewe uzi ushanidatisha
Hahhahahaha kuwa makini tuNajuamnanishangaa nipo napga story mwenyewe uzi ushanidatisha
chukua like mamaHapana ni sammy pekee ndo anammiliki kichwa
Leo naona ni mwendo wa toa likes upewe hana parables tena sijui ndo zimeishaUmewakilisha vyema sana mkuu
Maana haya mapenzi ni kitu cha ajabu sana.Asante Mkuu, ninaanza kupoa Mkuu.
Rule # 1 ya uzitoa likes pata likes
weka likes usichokeHuu uzi umenishinda kasi huu!
Sio hivyo, kumbuka tuliongea nini mimi na wewe...Habari ni njema kabisa...mbona unamkana tena?
HahaHamna sema hamjakaa kwa muda mrefu pamoja mtazoeana tu
Safi sana Id yako upo nayo makiniSipendi app
Sababu nikionaga eti inaweza kusoma contacts, etc
Kwa zingine zingine sawa ila zingine NAAAA ha haaaaa
Sasa mimi wanisome iweje eeeeee
Tho Max kama ananijua ni nani, akitaka kuwasiliana nami nje ya JF anaweza kupitia channels fulani fulani nami naweza na niko wapi kizaidi, hiyo namezea
Ha ha haaaaa
Labda nakupa pojoro utajuaje
Napita kuwasabahi kidogo