Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Huku ni kuanikana kwa kwenda mbele. Acha tu tuendelee kuzifunga PM zetu tuendelee na UGUMU! [emoji1][emoji1]
Hata yangu ilibidi nifunge aisee. JF hapa hakuna lolote sana sana ni kudhalilishana tu huko mbele ya safari. UGUMU FOREVAAA !!!Huku ni kuanikana kwa kwenda mbele. Acha tu tuendelee kuzifunga PM zetu tuendelee na UGUMU! [emoji1][emoji1]
Bro, yule bwana simwamini na hata kama kuna ukweli kitendo cha kulala na shoga ndani na hawajuani kama ni kweli basi alijitoa ufahamu...
Wengine siye tunazidi kuongeza siku za kuishi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂JF siku hizi kumepamba moto. Kuna wanaotapeliwa. Kuna wanaokumbana na malaya. Kuna wanaosafiri km 800 bila kupata papuchi. Kuna...... Malalamiko kila kona...
Yeah mgumu tena waweza shtukia toka kwa mtu usiyemtegemea haya mambo makubwaHuku ni kuanikana kwa kwenda mbele. Acha tu tuendelee kuzifunga PM zetu tuendelee na UGUMU! [emoji1][emoji1]