myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kama usemavyo ni kuwa makini tu broAnaza victim bro. Nami nikipata nguvu siku moja nitasimulia kisa changu humu. Napenda na kuheshimu sana wanawake lakini baadhi yao wana roho za kinyama sana aisee.
Ngoja nipitie lakini mimi naona kipindi hiki watu wengi wanamihemko sana mitandaoni sijui sababu nini mpaka nafurahigi yaani utakuta unakuta mtu anapolomoka na maneno machafu na matusi sijui stressUkiupitia uzi huu kwa umakini utajifunza jinsi ya kukabiliana na hoja ngumu za watu mbali mbali humu, kuna watu wanapitia magumu, lugha za matusi haziji hivi hivi.
Mmoja akilipuka mpokea mlipuko asikubali kulipuka, itasaidia kuuzima mlipuko bila kuleta madhara.
Mtoto anatakiwa kutunzwa na wazazi (sio walezi) wawili kwa upendo mkubwa, bahati mbaya sana ni watoto wachache mno wanao pitia malezi hayo.
Mungu aingilie kati...
Una uhakika gani kuwa u mtoto wa baba'ko? - JamiiForums