Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mara ya kwanza kampeni ya kuwasisitiza wanawake kukuza nywele zao mwilini imefanyika.

Kampeni hii inayojulikana kama 'Januhairy' inawataka wanawake kuzipenda na kuzikubali nywele zao halisi huku wakiwa wanachangisha fedha kwa ajili ya wahitaji.
 
Mhasisi wa kampeni hii Laura Jackson, mwenye umri wa miaka 21 amesema kuwa amepata muitikio mkubwa kutoka kwa wanawake duniani kote ambao wako tayari kushiriki katika kampeni hiyo.

Mwanafunzi wa chuo cha Exeter alisema kuwa alikuja na wazo hilo baada ya kukuza nywele zake kwa ajili ya maonyesho.
 
Licha ya kuhamasika na kujiamini mwenyewe, baadhi ya watu wanaonizunguka huwa hawanielewi au kukubaliana na mimi, kwa nini huwa sinyoi", mwanafunzi mmoja wa mwaka wa tatu alisema.

" Nimegundua kuwa kuna mambo mengi ambayo yanahitajika kufanyika ili tuweze kukubaliana kiukweli kati ya mtu na mtu", mwanafunzi huyo aliongeza.
 
Kampeni hiyo ilizinduliwa mwezi uliopita na sasa wanawake kutoka Uingereza,Marekani,Canada, Ujerumani,Urusi na Uhispania wanashiriki.

Bi.Jackson kutoka Kineton, ana matumaini ya kuchangisha Euro 1,000 kwa ajili ya wahitaji kutokana na mpango huo uliovuma kuhusu elimu ya mwili, ambao unawafundisha vijana kuhusu picha ya mwili.

"Ninataka wanawake wajisikie huru wakiwa katika uzuri wao wa kipekee wa miili yao",
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro isije ikawa wewe bro [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Siri za chama hizo [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20190104-WA0018.jpeg
 
Back
Top Bottom