Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na ni ukweli ndugu yangu swala la malezi ni mtambuka sana Mungu atusaidie kwa kweli lakini pia kila mmoja wetu anatakiwa kukubali Kubeba majukumu yake

Tunapitia Mengi sana
Tumeisha ifanya kuwa jadi/utamaduni wetu. Baadhi yetu hatukulelewa na wazazi wetu bali bibi zetu wakishirikiana na mama zetu. Walio tangulia walisha kosea, tulio fuata tumeyapokea madhaifu yao, hatuna hofu.
Mungu atusaidie tuitambue thamani ya mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…