Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika. Kabla ya yote lazima upitie hesabu za kampuni angalau za miaka mitatu mfululizo (consolidated Balance sheets) ili kujiridhisha na assets (non current and current) walizo nazo, pia ratio ya capital na liability (deni lisizidi 1:1)kama ni rahisi kusetofu. Mungu atusaidie maana hata hilo lipo kisiasa. Wakimuona waziri kawekeza,kahamasisha watu wawekeze,utashangaa kesho yake habari inakuwa ndio hiyo hiyo kwa raia
Ni kweli haya mambo ukichanganya na siasa unapotea, kama hizo hisa za voda alinunuaga PM ndio watu kuhamasishwa wakaingia kichwakichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia
FB_IMG_1546617675026.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom