myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
auze tu...Mkufunzi wa Atletico Madrid Diego Simeone anasema kuwa ana mpangowa kumzuia beki wa Uruguay mwenye umri wa miaka 32 Diego Godin, ambaye analengwa na Man United katika klabu hiyo ya Uhispania.. (Sunday Express).
safi mkuu...
daima...Milele
Ni kweli haya mambo ukichanganya na siasa unapotea, kama hizo hisa za voda alinunuaga PM ndio watu kuhamasishwa wakaingia kichwakichwaHakika. Kabla ya yote lazima upitie hesabu za kampuni angalau za miaka mitatu mfululizo (consolidated Balance sheets) ili kujiridhisha na assets (non current and current) walizo nazo, pia ratio ya capital na liability (deni lisizidi 1:1)kama ni rahisi kusetofu. Mungu atusaidie maana hata hilo lipo kisiasa. Wakimuona waziri kawekeza,kahamasisha watu wawekeze,utashangaa kesho yake habari inakuwa ndio hiyo hiyo kwa raia
[emoji106][emoji106][emoji106]