Jamaa anachekesha sana. Eti tatizo ni app na siyo yeye. Hata siku akipata UKIMWI huko kwenye michepuko atailaumu app. Kwenye ndoa huko kuna vituko sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Tumia kondomu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]