Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimerudi baba ake mkubwa na junia
Kwema?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Akina Juniyaa wote sio wasumbufu, tena wana akili. Shule zao ni za FM akademia,kwenye malezi hamna shida.
Habari ya majukumu binti yangu mzuri?
Heri ya mwaka mpya. Baraka zote anayostahili mwanadamu kupewa kwa uweza wa Allah basi zikawe kwako sasa hata milele.
Good morning[emoji120][emoji120]
 
SALA YA ASUBUHI

Siku mpya inaanza ,
nimwabudu Mungu kwanza
Mungu wangu Baba yangu,
upokee shukrani zangu
Wewe kwa usiku mzima,
ulikuwa kwangu daima
Kunilinda kwa amani,
na mitego ya shetani
Kwako Baba wa milele,
ninaomba neema tele
Niepuke dhambi zote,
nikutumikie kote
Ubariki kazi yangu,
shida na furaha zangu
Malaika kiongozi,
nipeleke kwa mwokozi
Yesu nijalie neema
niwe daima mkristo mwema

Amina

Niwatakie siku njema na yenye baraka tele tukatende kadri ya mapenzi yake Mungu Baba yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…